Swali: Kuna mtu anaswali Rakaa mbili za Sunnah kabla ya Fajr msikitini. Baada ya hapo anaswali Nawaafil mpaka kukimiwe swalah. Je, inajuzu?

Jibu: Baada ya kuingia alfajiri hakuna swalah nyingine zaidi ya Rakaa mbili za Fajr. Asiswali kitu kingine baada yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20%20-%204%20-%201%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 11/02/2017