Swali: Kukata hirizi ni sawa na kuachia mtumwa huru. Ni nani mwenye haki ya kukata hirizi? Ni mtu yeyote au ni mtawala peke yake?

Jibu: Ni mtawala peke yake. Mtu mwingine asiyekuwa mtawala asiyaondoshe mambo kwa mkono wake, kwa sababu hana mamlaka yoyote. Hili linasababisha shari kubwa zaidi. Awabainishie watu, kuwatahadharisha, kumfikishia mtawala na kujitahidi kuiondosha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (29) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20%20-%2025%20-%201%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 11/02/2017