Swali: Nikiokota uchawi niuteketeze kwa kuuchoma moto au kwa kuuharibuharibu?

Jibu: Ukiokota uchawi uteketeze ima kwa kuuchoma moto au kuuharibuharibu. Muhimu usiubakize.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam, uk. 155
  • Imechapishwa: 06/01/2019