Swali: Je mwanamke mjamzito anaweza kujumuisha swalah wakati fulani ikiwa anakabiliwa na shida?

Jibu: Ndio, ikiwa anakabiliwa na uzito anaweza kukusanya swalah. La sivyo hapana.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (428)
  • Imechapishwa: 15/09/2020