Swali: Inajuzu kwa wanawake kupaka rangi nyusi zao bila ya kuzikwanyua?

Jibu: Haijuzu kupaka rangi nyusi. Nyusi zinatakiwa kubaki kama Allaah (Subhanaahu wa Ta´ala) alivyoziumba. Kusibadilishwe kitu. Zisikwanyuliwe, zisipunguzwe na wala zisipakwe rangi. Kupaka rangi nyusi ni kubadilisha maumbile ya Allaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20%208%20-%2011%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 13/02/2017