Mwanamke kumtazama mwanaume kwa matamanio


Swali: Mimi nina televisheni nyumbani na hutazama na mke wangu mihadhara ya wanachuoni kila siku. Ni ipi hukumu ya kuwatazama wanachuoni kwa nisba ya mke wangu?

Jibu: Hata kama ingelikuwa sio kwa njia ya televisheni. Kuwatazama wanaume kwa matamanio haijuzu, hata kama sio kwa njia ya televisheni wakiwa barabarani asiwatazame kwa matamanio. Ama kuwatazama pasi na matamanio na kwa kwa haja, hakuna neno kwa hilo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (62) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13740
  • Imechapishwa: 16/11/2014