Swali: Je, mwanamke kufanya kazi ni Haramu ilihali naye amelazimika ili awalishe watoto zake na hakuna mwingine wa kuwalisha?

Jibu: Ikiwa hachanganyiki na wanaume, mudiri, tabibu au wasiokuwa hao, naye isitoshe amelazimika, akafanya kazi naye anajiaminia nafsi yake, heshima yake na Dini yake, In Shaa Allaah hakuna ubaya kwa hilo.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=729
  • Imechapishwa: 23/02/2018