Mwanamke anasoma kwa sauti ya juu kama mwanamme

Swali: Je, swalah ya mwanamme haitofautiani na ya mwanamke inapokuja katika kusoma kwa sauti ya juu na ulazima wa kukimu?

Jibu: Adhaana na Iqaamah ni jambo maalum kwa wanamme. Hivo ndivo zilivyopokelewa dalili. Wanawake hawana adhaana wala Iqaamah. Kuhusu kusoma kwa sauti ya juu imesuniwa kwake kusoma kwa sauti ya juu katika Maghrib, ´Ishaa na Fajr kama wanamme. Lakini kusoma kwa sauti ya juu inakuwa katika zile Rak´áh mbili za mwanzo katika Maghrib, ´Ishaa na Fajr.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3934/هل-تختلف-صلاة-الرجل-عن-المراة-بالنسبة-للجهر-بالقراءة-والاقامة-للصلاة
  • Imechapishwa: 29/09/2021