Swali: Mume wangu anakunywa pombe nyumbani na anaacha machupa ya pombe mezani. Je, inafaa kwake kuosha glasi na kuyatupa machupa hayo kwenye taka?

Jibu: Haijuzu kwake kubaki pamoja naye ilihali yuko namna hii. Anapaswa kuomba watengane. Asiishi naye ilihali anakunywa pombe. Mke anapata dhambi. Kadhalika anawazoweza watoto wake na kizazi kinachokuja. Huyu ni mume mbaya. Hatakiwi kubaki naye.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (89) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20%D9%85%D9%86%20%D9%85%D8%B5%D8%A7%D9%8A%D8%AF%20%D8%A7%D9%84%D8%B4%D9%8A%D8%B7%D8%A7%D9%86-08-07-1439.lite__0.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2018