Mtu anayekufa katika mapambano anaitwa “shahidi”?


Swali: Je, mtu anayekufa katika uwanja wa vita anaitwa “shahidi”?

Jibu: Hakumkatii yeyote isipokuwa yule aliyekatiwa na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Lakini tunatarajia wale waumini wanaokufa katika njia ya Allaah kuwa ni mashahidi. Hatusemi kwa kukata isipokuwa yule aliyekatiwa na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (62) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd14-07-%201438.mp3
  • Imechapishwa: 06/08/2017