Swali: Kuna mteja amenunua nguo kwenye duka na akazisahau wakati alipotoka. Zimebaki pale kwa muda mrefu. Muuzaji azifanye nini?

Jibu: Atapokata matumaini kabisa kurudi kwa mteja yule, azitoe swadaqah kuwapa masikini kwa kunuia thawabu zimwendee yule mwenye nazo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (5) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–01041434.mp3
  • Imechapishwa: 07/11/2016