Swali: Kuna mwanamke mwingereza ameingia katika Uislamu na anaogopa kumuonyesha Uislamu baba yake. Anachelea asije kumpiga na kumdhuru. Je, inafaa kwake kuacha kujisitiri kwa Hijaab na akaficha Uislamu wake?

Jibu: Ikiwa hawezi kuachana na baba yake, basi afiche Uislamu wake mpaka pale atapoweza kuachana naye. Ama kama anaweza kuachana naye, basi aonyeshe Uislamu wake na aachane na baba yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (50) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah%20Fiqh-06-05-1437.mp3
  • Imechapishwa: 16/03/2019