658- Nilimuuliza Ahmad juu ya msafiri anayekula wakati wa mchana kisha akarudi nyumbani na kumkuta mke wake ndio punde amesafika kutoka katika ada yake ya mwezi; je, inafaa kwake akalala naye? Akajibu:

“Bora asifanye hivo. Lakini imepokelewa kwamba Jaabir bin Zayd alilala na mke wake katika hali kama hiyo.”

  • Mhusika: Imaam Abu Daawuud Sulaymaan bin al-Ash´ath as-Sijistaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad, uk. 136
  • Imechapishwa: 26/03/2021