Swali: Ni ipi hukumu ya kubusa mkono wa mwanachuoni fulani?

Jibu: Hakuna neno kubusa mikono ya watu watatu: mkono wa mtawala, mkono wa baba na mkono wa mwanachuoni. Hakuna ubaya kubusa mikono yao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (21) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 14/03/2020