Mfungaji amefanya punyeto akatokwa na manii

Swali: Kuna mtu amejichua sehemu za siri mchana wa Ramadhaan bila ya kufanya jimaa. Je, atoe kafara?

Jibu: Anachotakiwa ni yeye kulipa na kutubia kwa Allaah. Kuhusu kafara ni kwa yule aliyefanya jimaa ukeni.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (18) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtfq-15011435-01.mp3
  • Imechapishwa: 29/11/2019