Masiku meupe ya katikati yamempita na anataka kufunga masiku mengine

Swali: Kuna mtu hakufunga masiku tatu meupe. Je, inatosha kwake kufunga masiku mengine yaliyobaki katika mwezi badala ya siku hizi tatu?

Jibu: Ikiwa ni miongoni mwa watu waliozowea kufunga siku tatu kila mwezi, basi masiku tatu yatamtosha badala ya masiku matatu ambayo alikuwa na mazowea kufunga.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa’ ash-Shahriy (45) http://binothaimeen.net/content/1051
  • Imechapishwa: 08/03/2019