Masharti ya Tayammum


Swali: Imetajwa kwamba miongoni mwa masharti ya Tayammum udongo uwe msafi na vilevile uwe ni wenye kuruhusiwa. Nini maana ya “kuruhusiwa”?

Jibu: Usiwe umepokonywa. Kwa njia ya mtu mtu akapokonya udongo kutoka kwa mtu na akauweka nyumbani kwake. Huu ni udongo uliopokonywa.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (03) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/430/430.mp3
  • Imechapishwa: 07/05/2018