Mambo ya ndoa yapelekeni mahakamani!


Swali: Nimeolewa kwa walii lakini pasi na mashahidi. Je, ndoa hii ni sahihi?

Jibu: Mambo ya ndoa na harusi yapelekni mahakani. Sisi hatutoi fatwa katika hayo. Lazima kupatikana vigezo na mengineyo. Haya yanakuwa mahakamani.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-01-05-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 20/09/2020