Makanisa na mahekalu yasijengwe katika miji ya waislamu


Swali: Inajuzu kuwaacha manaswara na waabudu mizimu kujenga makanisa na mahekalu katika miji ya waislamu?

Jibu: Haijuzu kuwaacha wakafanya hivo katika miji ya waislamu. Haijuzu. Lakini makanisa yao ya kale yaachwe mpaka pale yatapobomoka. Baada ya hapo yasijengwe tena. Yakibomoka yasijengwe tena katika miji ya waislamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (58) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/15-01-1438-ighastat.mp3
  • Imechapishwa: 22/10/2017