Swali: Ni ipi hukumu ya kutaka msaada kutoka kwa majini waislamu?

Jibu: Hakuombwi msaada kutoka kwa majini, sawa yawe ya Kiislamu au yasiyokuwa ya Kiislamu.

Swali: Baadhi ya watu wanasema kwamba kuna ambayo yanaweza kuwa na karama?

Jibu: Hapana, mtu asiwaombi msaada wowote. Kwa sababu majini hayaaminiwi na wala hawasadikishwi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh al-´Aqiydah al-Waasitwiyyah (04)
  • Imechapishwa: 09/08/2020