Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kuwatukana na kuwaponda Maswahabah?

Jibu: Mwenye kuwatukana Maswahabah – kama wafanyavyo Raafidhwah – ni kafiri.

Swali: Ni jambo linalofikia katika kufuru?

Jibu: Ndio. Kwa sababu maana yake ni [sauti haiko wazi]. Kwa sababu wao ndio wabebaji wa Shari´ah. Maana yake ni kwamba wao sio waadilifu.

Lakini hata hivyo hakufuru akiwatukana baadhi yao. Kwa mfano wanayofanya baadhi ya watu wanapomtukana kama mfano wa Mu´aawiyah. Haya ni maasi na dhambi kubwa. Sio kufuru.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh al-´Aqiydah al-Waasitwiyyah (04)
  • Imechapishwa: 09/08/2020