Mafuta ya zaituni wakati wa kusoma matabano

Swali: Inafaa kutumia mafuta ya zaituni katika kumtibu yule aliyevamiwa na jini? Kwani jambo hilo limejaribiwa na likawa na taathira yenye nguvu katika kumwondosha jini.

Jibu: Hapana. Haifai kutumia mafuta ya zaituni au kipande cha ngozi ya mbwamwitu. Yote haya ni katika ukhurafi. Wengine wanaomba msaada kutoka kwa wanyama wakali. Haifai kufanya hivo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam (09) http://ajurry.com/safrawy/chorohat-elakida/chorohat-nawakid-elislam/charh-salah-fawzan/09.mp3
  • Imechapishwa: 05/04/2019