Swali: Ni ipi hukumu ya kuwapa hongera makafiri juu ya sikukuu zao kama siku ya taifa na nyenginezo?

Jibu: Haijuzu kuwapa hongera makafiri kwa ajili ya sikukuu zao. Isipokuwa ikiwa ni kwa lengo la kuwapaka mafuta kwa kuchelea shari ya makafiri. Hapo hakuna neno:

إِلَّا أَن تَتَّقُوا مِنْهُمْ تُقَاةً

”Isipokuwa mkiwa mnajilinda na shari zao.” (Aal ´Imraan 03: 28)

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nawaaqidhl-il-Islaam (08) http://ajurry.com/safrawy/chorohat-elakida/chorohat-nawakid-elislam/charh-salah-fawzan/08.mp3
  • Imechapishwa: 05/03/2019