Kuwapongeza makafiri kwa ajili ya krismasi au mwaka mpya

Swali: Kwa nisba ya sikukuu za kikafiri kama ile inayoitwa “sikukuu ya krismasi” au sikukuu ya mwaka mpya. Je, inafaa kwa muislamu kuwapongeza marafiki zake makafiri kwa kitu hiki?

Jibu: Hapana. Asiwapongezi kwa kitu hiki wala asile kwenye chakula chao walichotengeneza katika sikukuu zao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=6Ve1DqfO5VI
  • Imechapishwa: 15/12/2019