Kuwalazimisha watoto kutawadha kabla ya kugusa msahafu

Swali: Mimi ni mwalimu nawafunza watoto Qur-aan katika ngazi ya shule ya msingi. Je, niwalazimishe watoto kutawadha kabla ya kugusa msahafu pamoja na kuwa kitendo hichi kina uzito mkubwa?

Jibu: Ndio. Ambaye kishafikisha miaka saba mlazimishe na mfunze.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (04) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/431/431.mp3
  • Imechapishwa: 07/08/2018