Kuuza bidhaa maradufu


Swali: Inajuzu kwangu kununua bidhaa kisha nikaiuza kwa bei maradufu?

Jibu: Ukinunua bidhaa, ukaimiliki na kuwa nayo, inafaa kwako kuiuza kwa mfano wa thamani uliyonunua, juu yake au chini yake. Kwa sababu ni milki yako.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (62) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighatsah%2005-03-1438H.mp3-1.mp3
  • Imechapishwa: 26/08/2017