Kutazama michezo ya sarakasi au mingine ya kichawi

Swali: Wale wanaoenda kutazama michezo ya sarakasi na michezo mingine wanakufuru japo hawakuyaridhia?

Jibu: Ikiwa hawakuyaridhia wamefanya kitendo cha haramu ambacho wanapata dhambi kwacho. Ama wakiyaridhia ilihali wanajua kuwa ni uchawi, wanakufuru.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam, uk. 156
  • Imechapishwa: 12/01/2019