Kutawassul kwa matendo mema ya watu wengine


Swali: Umetueleza katika darsa yako iliyotangulia ya kwamba inajuzu wakati wa Du´aa kutawassul kwa matendo mema. Je, inajuzu kumuombea Du´aa mgonjwa katika hali ambapo amelala na hana fahamu na kutawassul kwa Allaah kwa matendo yake mema Allaah amponye?

Jibu: Hapana. Usitawassul kwa matendo ya wengine. Tawassul kwa matendo yako wewe.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (64) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13821
  • Imechapishwa: 16/11/2014