Kutamka du´aa wakati wa kunywa Zamzam

Swali: Je, mtu ambaye anakunywa maji ya Zamzam anatakiwa kutamka kile alichonuia kama kwa mfano kusema: “Ee Allaah! Mimi nayanywa ili uniponye na magonjwa fulani.”?

Jibu: Hakuna neno. Muombe Allaah akuponye maradhi fulani.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (22) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdatul-26-3-1435.mp3
  • Imechapishwa: 20/03/2020