Kuswali kwa kuzielekea picha

Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali mahala ambapo kuna picha au kumewashwa TV?

Jibu: Haijuzu kuswali mahala ambapo zipo picha ikiwa picha hizo ziko upande wa Qiblah cha mwenye kuswali. Haijuzu kuswali kwa kuzielekea picha, ni mamoja picha zilizotundikwa kwenye ukuta au zimeinuliwa. Kwa sababu kumefanan na ´ibaadah ya washirikina.

Check Also

al-Fawzaan kuhusu Malaika kutoingia kwenye nyumba yenye picha

Swali: Picha ikiwa katika chumba miongoni mwa vyumba vya nyumbani, je, Malaika hawaingii katika vyumba …