Kusoma ndani ya msahafu katika swalah za usiku


Swali: Nikisimama kisimamo cha usiku mwenyewe inajuzu kwangu kushika msahafu na kusoma kutoka kwenye msahafu?

Jibu: Hakuna neno kufanya hivyo. Ikiwa hukuhifadhi kisomo, hakuna neno ukafanya hivyo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/files/ls--jeddah-1430-8-17.mp3
  • Imechapishwa: 20/09/2020