Kusoma kwa sauti kwa sababu ya wasiwasi


Swali: Katika swalah za mchana imewekwa katika Shari´ah kusoma kimyakimya. Kwa mtu aliye na wasiwasi inafaa kwake kusoma kwa sauti?

Jibu: Hapana. Ni kwenda kinyume na Sunnah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (70) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighatsah%20-%2019%20-0%207%20-%201438.mp3
  • Imechapishwa: 10/09/2017