Kusema “Njooni katika tendo bora” wakati wa kuadhini

Swali 15: Ni ipi hukumu ya adhaana:

حي على خير العمل

“Njooni katika tendo bora.”

Jibu: Adhaana kwa kusema:

حي على خير العمل

“Njooni katika tendo bora.”

ni Bid´ah. Aliyeko amfikishie asiyekuweko. Ni jambo halikuthibiti kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ijaabatu as-Saa-il, uk. 48
  • Imechapishwa: 19/09/2019