Swali: Maimamu wetu wanasema kuwa ni lazima kwa waislamu kumpigia kura kafiri ambaye ni bora. Wanachomaanisha ni kwamba tunapata dhambi ikiwa hatutofanya hivo na wanajengea hoja kwamba tunazuia ushahidi wa uongo na kwamba mtu anatakiwa azingatie manufaa na madhara na kujitahidi waislamu kudhuriwa kiasi kidogo iwezekanavyo. Wanasema kuwa Shaykh na ´Allaamah Ibn Baaz amejuzisha hilo. Ni ipi hukumu ya waislamu kumchagua kafiri ambaye ni bora?

Jibu: Mimi sionelei hivo. Siwezi kutoa fatwa inayojuzisha ingawa baadhi ya wanachuoni wamefanya hivo. Mimi sijui.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.sahab.net/forums/index.php?app=forums&module=forums&controller=topic&id=126750
  • Imechapishwa: 18/10/2020