Kununua vitabu vya upotevu ili vikae nyumbani tu

Swali: Je, inajuzu kununua vitabu ambavyo vina usengenyaji na Ruduud kwa baadhi ya wanachuoni na wanafunzi?

Jibu: Ukinunua ili uvipige Radd na uponde yaliyomo, hili ni jambo zuri. Ama kuvinunua na kuviweka kwako na wala hauvipigi Radd, hili halijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (68) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13864
  • Imechapishwa: 16/11/2014