Kuna du´aa maalum katika Sujuud ya kusahau?

Swali: Je, kuna du´aa iliyopokelewa katika Sujuud ya kusahau?

Jibu: Aseme kama anavosema katika Sujuud ya swalah:

سبحان ربي الأعلى سبحان ربي الأعلى

“Ametakasika  Mola wangu, Aliye juu kabisa, kutokamana na mapungufu yote. Ametakasika  Mola wangu, Aliye juu kabisa, kutokamana na mapungufu yote.”

na aombe du´aa.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://shrajhi.com.sa/fatawa/105/%D9%87%D9%84-%D9%87%D9%86%D8%A7%D9%83-%D8%AF%D8%B9%D8%A7%D8%A1-%D9%85%D8%A3%D8%AB%D9%88%D8%B1-%D9%81%D9%8A-%D8%B3%D8%AC%D9%88%D8%AF-%D8%A7%D9%84%D8%B3%D9%87%D9%88
  • Imechapishwa: 29/11/2019