Swali: Kumswalia mtoto mdogo ni wajibu kama ilivo wajibu kumswalia mtu mkubwa?

Jibu: Ndio. Ni wajibu kumswalia maiti, sawa ikiwa ni mdogo au mkubwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (10) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-10-29.mp3
  • Imechapishwa: 11/11/2014