Kumjuza mteja wa nyumba juu ya majirani wabaya


Swali: Mimi nina jirani mbaya na nataka kuuza nyumba yangu. Je, ni lazima kwangu kumjuza mnunuzi juu ya jambo hilo?

Jibu: Ndio, mjuze sababu ya kuuza nyumba. Mjuze juu ya jambo hilo na usimfanyie ghushi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (103) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-6-3-1441_1.mp3
  • Imechapishwa: 31/01/2021