Kujiunga na imamu kwenye Rukuu´ katika swalah ya kupatwa kwa jua na mwezi

Swali: Anayepitwa na Rukuu´ ya kwanza katika swalah ya kupatwa kwa mwezi na akawahi Rukuu´ ya pili anazingatiwa amewahi Rak´ah?

Jibu: Analazimika kuilipa.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 177
  • Imechapishwa: 03/07/2022