Kujisafisha baada ya kutokwa na upepo


133- Baba yangu alinihadithia: Yahyaa bin Yamaan alinihadithia, kutoka kwa Sufyaan, kutoka kwa Yuunus, kutoka kwa al-Hasan ambaye amesema:

“Hakuna kujisafisha baada ya kutokwa na upepo.”

Nilimsikia baba yangu akisema:

“Nami nasema vivyo hivyo.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad (1/109)
  • Imechapishwa: 31/01/2021