Kuitikia salamu “wa ´alaykumus-Salaam wa Rahmah”


Swali: Ni ipi hukumu ya msemo wa watu wakati wanapoitikia salamu “wa ´alaykumus-Salaam wa Rahmah” bila ya kuinasibisha rehema kwa Allaah?

Jibu: Hakuna neno kufanya hivo…

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (33) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-10-24_0.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014