Swali: Wakati mtu anapoingia nyumbani na hakuna mtu halafu akatoa salamu anakuwa amejitolea salamu yeye mwenyewe au Malaika?
Jibu: Kilichothibiti ni kutowatolea salamu watu wa nyumbani ikiwa wako nyumbani. Ama ikiwa hakuna mtu nyumbani, inatosheleza kwake kusema “Bismillaah” kabla ya kuingia. Kufanya hivi kunatosheleza.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (33) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-10-24_0.mp3
- Imechapishwa: 15/11/2014
Swali: Wakati mtu anapoingia nyumbani na hakuna mtu halafu akatoa salamu anakuwa amejitolea salamu yeye mwenyewe au Malaika?
Jibu: Kilichothibiti ni kutowatolea salamu watu wa nyumbani ikiwa wako nyumbani. Ama ikiwa hakuna mtu nyumbani, inatosheleza kwake kusema “Bismillaah” kabla ya kuingia. Kufanya hivi kunatosheleza.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (33) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-10-24_0.mp3
Imechapishwa: 15/11/2014
https://firqatunnajia.com/mtu-kutoa-salamu-anapoingia-katika-nyumba-isiyokuwa-na-mtu/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)