Kufungua akaunti katika benki ya ribaa

Swali: Ni ipi hukumu ya kufungua akaunti katika benki ya ribaa pasi na kuchukua faida juu yake?

Jibu: Mtu akihitajia kufanya hivo au akalazimika basi hapana neno. Asichukue faida. Akijitosheleza ndio bora zaidi.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (23)
  • Imechapishwa: 19/11/2021