Kufanya kazi ya sanaa


Swali: Ni ipi hukumu ya anayefanya kazi ya sanaa kama kutengeneza masanamu na nyenginezo?

Jibu: Haijuzu kufanya hivi. Haijuzu kupiga picha na kuchora, tusemeje kutengeneza masanamu. Haijuzu kufanya hivi. Allaah (´Azza wa Jall) amesema:

“Ni nani dhalimu zaidi kuliko yule anayeumba kama uumbani Wangu? Basi aumbe mduduchungu, mbegu au nafaka.”[1]

Haijuzu kuigiza uumbaji wa Allaah (´Azza wa Jall).

[1] al-Bukhaariy (5953) na (7559) na Muslim (2111).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (92) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20%D9%85%D9%86%20%D9%85%D8%B5%D8%A7%D8%A6%D8%AF%20%D8%A7%D9%84%D8%B4%D9%8A%D8%B7%D8%A7%D9%86-29-07-1439%D9%87%D9%80%200010.mp3
  • Imechapishwa: 20/07/2018