Swali: Je, kufanya chuki na kufanyiwa chuki kunawafunguza wawili hao mchana wa Ramadhaan? Ni ipi hukumu kunawafunguza na wanatakiwa kulipa siku zilizowapita?

Jibu: Aliyefanya na aliyefanyiwa wote wawili kumewafunguza. Wanatakiwa kujizuia na kula na kunywa siku iliyobaki. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Amefunguza mwenye kuumika na kuumikwa.”[1]

[1] Ahmad (04/123-125) , Abu Daawuud (02/770-773), Ibn Maajah (01/537) na wengineo.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (10/261-262)
  • Imechapishwa: 11/06/2017