Swali: Je, inajuzu kuandika na huku Imamu yuko anatoa Khutbah ya Ijumaa akisikia maneno ya faida?

Jibu: Hapana. Huku ni kufanya matendo na harakati. Haijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-5-29.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2014


Takwimu
  • 27
  • 413
  • 1,821,446