Swali: Ni ipi hukumu ya kope za uongo kwa ajili ya kumpambia mume?

Jibu: Huku ndio kuunganisha ambako amelaaniwa mwenye kufanya. Ni kuunganisha. Kuunganisha ni kurefusha nywele kwa nywele za bandia. Ni kubadilisha maumbile ya Allaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (36) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20-%2024-10-1436.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017