Kidude cha kuwekea funguo cha dhahabu


Swali: Inajuzu kwa mwanamke kutumia kidude cha kuwekea funguo cha dhahabu?

Jibu: Hapana. Dhahabu haitumiwi kidude cha kuwekea funguo. Haijuzu. Hii ni israfu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (86) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/NEW.lite_.mp3
  • Imechapishwa: 11/07/2018