Jiepushe na mabenki


Swali: Inajuzu kufanya kazi katika kitengo cha benki kinachoshurutisha ribaa wakati wa kutoa mkopo?

Jibu: Kamwe usiyakaribie mabenki. Jitenge nazo mbali. Tafute kazi mahala pengine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (71) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah26-07-1438h%20-%20Copy.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2017