Swali: Swalah ya Istikhaarah imesuniwa kwa ambaye atamtembelea rafiki yake?
Jibu: Ndio. Kwa sababu ridhaa ya matembezi ni kitendo.
- Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 186
- Imechapishwa: 04/07/2022